Melanie Bernstein (alizaliwa 28 Septemba 1976) ni mwanasiasa wa Ujerumani wa Chama cha Kidemokrasia cha Kikristo (CDU) ambaye aliwahi kuwa mwanachama wa Bundestag kutoka jimbo la Lower Saxony kutoka 2017 hadi 2021 . [1]

Melanie Bernstein

Kazi ya kisiasa

hariri

Bernstein alikua mwanachama wa Bundestag kwwenye uchaguzi wa shirikisho la Ujerumani wa 2017, na akachaguliwa katika eneo bunge la Plön-Neumünster . [2] Alikuwa mjumbe wa Kamati ya Utamaduni na Vyombo vya Habari na Kamati ya Familia, Wazee, Wanawake na Vijana. [3] [4]

Bernstein alipoteza kiti chake kwa Kristian Klinck kutoka Chama cha Kidemokrasia cha Kijamii kwenye uchaguzi wa shirikisho la Ujerumani wa 2021 . [5]

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Melanie Bernstein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Melanie Bernstein | Abgeordnetenwatch". www.abgeordnetenwatch.de (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2020-03-21.
  2. "Melanie Bernstein". CDU/CSU-Fraktion. Iliwekwa mnamo 2020-03-21.
  3. "German Bundestag - Cultural and Media Affairs". German Bundestag (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-03-21.
  4. "German Bundestag - Family Affairs, Senior Citizens, Women and Youth". German Bundestag (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-03-21.
  5. "Wahlkreis 6, Plön - Neumünster: Alle Wahlergebnisse zur Bundestagswahl 2021". KN - Kieler Nachrichten (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2022-01-25.