Men of Two Worlds ni filamu ya Uingereza iliyoongozwa na Thorold Dickinson mwaka 1946.

Wahusika wakuu katika filamu hii ni Robert Adams, Eric Portman na Phyllis Calvert. Filamu hii inahusu mwanafunzi wa muziki kutoka Afrika aliyerudi nyumbani kupambana na udhibiti wa mganga katika kabila lake. .[1]

Marejeo

hariri
  1. "Men of Two Worlds (1946)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-13. Iliwekwa mnamo 2019-12-21. Ilihifadhiwa 13 Januari 2009 kwenye Wayback Machine.
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Men of Two Worlds kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.