Menongue ni mji uliopo kusini mashariki mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Cuando Cubango. Ndio makao makuu ya mkoa huo.

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 320,914[1].

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Menongue kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.