Mexicali, Baja California


Mexicali ni mji mkuu katika jimbo la Baja California. Idadi ya wakazi ni 1,000,010. Iko kaskazini - magharibi ya nchi Mexiko. Kuna pia Chuo Kikuu Huru cha Baja California.

Jiji la Mexicali
Nchi Mexiko
Jimbo Baja California
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,000,010
Tovuti:  www.mexicali.gob.mx
Mji wa Mexicali, Baja California

Mji ulianzishwa mwaka 1903.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mexicali, Baja California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.