Mfululizo
Katika hisabati, mfululizo (kwa Kiingereza: series) ni tendo la kihesabu la kujumlisha lisilo na mwisho toka idadi inayoanza.
Mfululizo hutumika katika utarakilishi.
Marejeo
hariri- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mfululizo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |