Mgogoro wa kifedha

Mgogoro wa kifedha ni hali yoyote ambapo baadhi ya mali za kifedha hupoteza ghafla sehemu kubwa ya thamani yake ya kawaida. Katika karne ya 19 na mwanzoni mwa karne ya 20, migogoro mingi ya kifedha ilihusishwa na hofu za kibenki, na kushuka kwa uchumi.[1]

Marejeo

hariri
  1. Bouchaud, Jean-Philippe (2008). "Economics needs a scientific revolution". Nature (kwa Kiingereza). 455 (7217): 1181. arXiv:0810.5306. Bibcode:2008Natur.455.1181B. doi:10.1038/4551181a. ISSN 0028-0836.