Mohamed Ali (mbunge)

(Elekezwa kutoka Mheshimiwa Mohamed Ali)

Mohamed Ali ni mbunge wa jimbo la Nyali. Aliteuliwa kama mbunge katika chama cha IND mwaka wa 2017.

Ana diploma katika utangazaji.Alifanya kazi na stesheni ya KTN. Baadaye aliteuliwa kama mbunge wa Nyali.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Ali (mbunge) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.