Mia tano ni namba inayoandikwa 500 kwa tarakimu za kawaida na D kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 499 na kutangulia 501.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 5 x 5 x 5.

Matumizi hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mia tano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.