Miami Heat

Timu ya mpira wa kikapu ya Marekani iliyoko Miami

Miami Heat ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Miami, Florida. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Jimmy Bulter.

Miami Heat

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Miami Heat kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.