Michael Alig (29 Aprili 196624 Desemba 2020) alikuwa mpromota wa vilabu na msanii kutoka Marekani aliyetuhumiwa kwa mauaji ya kijinai. Alikuwa mmoja wa viongozi wa Club Kids, kundi la vijana wa New York City waliokuwa mashuhuri katika vilabu vya usiku na kuwa kielelezo cha utamaduni mwishoni mwa miaka ya 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 1990.[1]

Marejeo

hariri
  1. Bollen, Christopher. "Michael Alig", Interview Magazine. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Alig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.