Michael Brown

Tuzo Nobel.png

Michael Stuart Brown (amezaliwa 13 Aprili 1941) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza kolesteroli. Mwaka wa 1985, pamoja na Joseph Goldstein alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Michael Brown 2003
Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Brown kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.