Michel Boyibanda

Mwanamuziki wa Kongo

Michel Boyibanda ni msanii wa kurekodi muziki wa soukous, mtunzi, na mwimbaji katika Jamhuri ya Kongo. Aliwahi kuwa mwanachama wa bendi ya Rumba ya Kongo TPOK Jazz, iliyoongozwa na François Luambo Makiadi, ambayo ilitawala sana tasnia ya muziki wa Kongo kuanzia miaka ya 1950 hadi 1980.[1]

Kazi hariri

  • Ata Na Yebi (1966)
  • Samba Toko Samba (1966)
  • Andu Wa Andura (1971)
  • Ba Soucis Na Week-End (1971)
  • Osaboté Ngai Jean-Jean (1971)
  • Zando Ya Tipo-Tipo (1974)
  • Nzete Esololaka Na Moto Te (1975)

Marejeo hariri

  1. https://en.wikipedia.org/wiki/Michel_Boyibanda#cite_note-1