Miho Manya
Miho Manya (alizaliwa 5 Novemba 1996) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alicheza kama beki wa timu ya taifa ya Japan pamoja na klabu ya Wanawake ya Mynavi Sendai inayoshiriki ligi ya WE.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Miho Manya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |