Miles Davis (25 Mei 192628 Septemba 1991) alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Miles Dewey Davis III. Alikuwa anapiga muziki ya jazz.

Miles Davis

Muziki Edit

  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Miles Davis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.