Milicent Makhado

Mwigizaji na muiga sauti wa Afrika ya kusini

Millicent Tshiwela Makhado ni mwigizaji wa filamu na sauti nchini Afrika Kusini, aliyejulikana sana kwa kazi yake ya uhusika kama "Agnes Mukwevho" kwenye filamu ya Muvhango.

Millicent Tshiwela Makhado
Nchi Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini
Majina mengine Milicent Makhado
Kazi yake Mwigizaji

Mwaka 2012 aliteuliwa kuwa mshindi wa tuzo za Africa Movie Academy Award kama mwigizaji bora wa kike wa filamu katika uhusika mkuu kwa uhusika wake kama "Margaret" kwenye filamu ya 48.[1] Pia alishirikishwa kwenye filamu nyingi kama vile Scanda, Man in Crisis na In A Heartbeat.

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Milicent Makhado kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.