Milima ya Mbeya ni safu ya milima iliyopo katika kusini mwa Tanzania katika Mkoa wa Mbeya.

Mlima wa Mbeya ni mwimuko wa juu na kilele chake kipo mita 2,320 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri