Milimita (kifupi mm) ni sehemu ya 1000 ya mita moja. Ni sawa na sehemu ya kumi ya sentimita moja.

Ruler yenye mgawanyo ya mm na cm

Millimita (mm): Millimita ni sehemu ya kumi ya sentimita moja; sentimita ina millimita kumi, mita ina millimita elfu moja.

Ndani ya milimita kuna mikromita (µm) 1,000.

mm 1 = cm 0.1 = m 0.001; mm 1 = µm 1,000