Minnesota Timberwolves

Timu ya mpira wa kikapu kutoka Marekani

Minnesota Timberwolves ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Minneapolis, Minnesota. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Karl-Anthony Towns.

Timbwerwolves

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Minnesota Timberwolves kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.