Miodrag Kostić
Miodrag Kostić (25 Agosti 1959 – 13 Novemba 2024) alikuwa mfanyabiashara kutoka Serbia. Alikuwa mhasisi na mmiliki wa MK Group, kampuni kubwa ya holding yenye mwelekeo wa shughuli mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kilimo, nishati ya kijani, na utalii. [1]
Marejeo
hariri- ↑ "News | AMCHAM". www.amcham.rs. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-14. Iliwekwa mnamo 2020-09-14.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Miodrag Kostić kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |