Miskolc
Miskolc ni mji mkuu wa wilaya ya Borsod-Abaúj-Zemplén nchini Hungaria. Idadi ya wakazi wake ni takriban 169,226.

Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Hungaria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Miskolc kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |