Misri baada ya mwaka 1882

(Elekezwa kutoka Misri ya Kisasa)

Misri kwa karne nyingi ilikuwa rasmi sehemu ya Milki ya Osmani lakini katika karne ya 19 hali halisi ilisimamiwa na Uingereza hasa kwa shabaha ya kutawala mfereji wa Suez.

Mwaka 1914 ilitangazwa kuwa nchi lindwa chini ya Uingereza; tangazo la uhuru la mwaka 1922 bado liliacha athira kubwa kwa Uingereza.

Tangu mwaka 1952 Misri imepata uhuru kamili, na tangu hapo ilitawala pia mfereji wa Suez.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Misri baada ya mwaka 1882 kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.