Mito, Ibaraki
Mito (水戸市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Ibaraki nchini Japani[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 265,000 wanaoishi katika mji huu.
Mito | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Kantō | ||
Mkoa | Ibaraki | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 264 570 | ||
Tovuti: www.city.mito.lg.jp |
Marejeo
hariri- ↑ https://web.archive.org/web/20110322185051/http://www.city.mito.lg.jp/ Tovuti rasmi (Kijapani)
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mito, Ibaraki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |