Miyabi Moriya (alizaliwa 22 Agosti 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa timu ya taifa ya Japani pamoja na klabu ya INAC Kobe Leessa inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League.[1]

Marejeo hariri

  1. "Scoresheet". weleague.jp. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Miyabi Moriya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.