Mjukuu

wazazi wakipata mtoto, huyo mtoto nae akifikia umri wa kuweza kupata mtoto, mtoto atakayezaliwa anaitwa mjukuu

Mjukuu ni mtoto wa mwanao, bila kujali jinsia yako wala yake. Yeye anakuita babu au bibi.[1]

Mtoto wake tena anaitwa kitukuu, mtukuu au kusukuu.[1]

Katika Kiswahili ni maarufu mithali inayosema, "Majuto ni mjukuu", kwa maana mara nyingi jambo la hatari ulifanyapo kwa wakati husika, waweza kujuta baadaye.[2]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "eLimu | Msamiati: Nasaba/ Ukoo". learn.e-limu.org. Iliwekwa mnamo 2022-04-12. 
  2. Ngii, Jacline (2010-12-13). "Majuto Ni Mjukuu". Kiswahili Story Database (0).