Mkaa

ukarasa wa maana wa Wikimedia

Mkaa inaweza kumaanisha

Usafirishaji wa mkaa
  • Makaa - fueli inayotengenezwa kwa kupashia kuni moto na kuzia hewa
  • Makaa mawe - fueli yenye umbo la mwamba
  • Mkaa (mti) - mti wa aina aleurites moluccana, ganda lake hutumiwa kama dawa
  • Mwindaji - mtu anayewinda
  • Kaa (Mnyama mwenye magamba) ni aina ya mnyama ambaye yupo katika kundi la krasteshia anayeishi baharini na ana jozi tano za miguu.
Disambig.svg
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.