Mkoa wa Đắk Nông
Đắk Nông ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Gia Nghĩa. Eneo lake ni 6,514.5 km². Mwaka 2009 wakazi 489,392 walihesabiwa.
Tazama piaEdit
Viungo vya njeEdit
- Tovuti rasmi Archived 27 Agosti 2008 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|