Mkoa wa Amasya
Amasya ni moja kati ya mkoa wa Uturuki. Upo katika eneo la Mto Yeşil Kanda ya Bahari Nyeusi kwa upande wa kaskazini mwa nchi. Una eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,520. Idadi ya wakazi ya mkoani hapa imefikia kiasi cha 352,452.
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Amasya nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 5520 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 352,452 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 05 |
Kodi ya eneo: | 0358 |
Tovuti ya Gavana | http://www.amasya.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/amasya |
Wilaya za mkoani hapaEdit
Mkoa wa Amasya umeganyika katika wilaya 7 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya NjeEdit
- (Kiingereza) Pictures of the city of Amasya
- (Kiingereza) Amasya Weather Forecast Information Archived 29 Oktoba 2005 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Amasya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |