Mkoa wa Bitlis
Bitlis ni mkoa uliopo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Upo kwenye eneo la magharibi mwa Ziwa Van. Idadi kubwa ya wakazi ni kundi la Wakurdi wanaoishi mkoa hapa.[1] Mji mkuu wake ni Bitlis.
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Bitlis nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Mashariki |
Eneo: | 6707 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 413,446 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 13 |
Kodi ya eneo: | 0434 |
Tovuti ya Gavana | http://www.bitlis.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/bitlis |
Wilaya za mkoani hapaEdit
Mkoa wa Bitlis umegawanyika katika wilaya 7 (mji mkuu umekoozeshwa):
MarejeoEdit
Viungo vya NjeEdit
- Pictures of the city of Bitlis, the capital of Bitlis province - and of nearby Siirt
- Bitlis Weather Forecast Information Archived 7 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
- The Armenian History and Presence in Bitlis
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bitlis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |