Mkoa wa Bolu
Bolu ni mkoa uliopo kaskazini-magharibi mwa Kanda ya Bahari Nyeusi nchini Uturuki, upo katikati ya mji wa Istanbul na Ankara. Umechukua eneo la kilomita za mraba 7,410 na idadi ya wakazi takriban 270,417.
Mkoa wa Bolu | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Bolu nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 7410 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 270,417 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 14 |
Kodi ya eneo: | 0374 |
Tovuti ya Gavana | http://www.bolu.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/bolu |
Mji mkuu wake ni Bolu.
Wilaya za mkoani hapa
haririMkoa wa Bolu umegawanyika 9 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
hariri- Bolu Weather Forecast Information Archived 18 Februari 2008 at the Wayback Machine. (Kiingereza)
- Informations and photos about Bolu City Archived 12 Mei 2008 at the Wayback Machine. (Kiingereza)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bolu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |