Mkoa wa Cao Bằng
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Cao Bang)
Cao Bằng ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Cao Bằng. Eneo lake ni 6,690.7 km². Mwaka 2009 wakazi 507,183 walihesabiwa.
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 18 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|