Mkoa wa Corrientes

Corrientes ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Argentina. Mji mkuu wake ni San Juan de Vera de las Siete Corrientes au "Corrientes".

Corrientes, Argentina
Mahali pa Corrientes katika Argentina

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Argentina bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Corrientes kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.