Mkoa wa Gia Lai

Gia Lai ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Pleiku. Eneo lake ni 15,494.9 km². Mwaka 2009 wakazi 1,274,412 walihesabiwa.

Mahali pa Gia Lai katika Vietnam

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Gia Lai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.