Mkoa wa Guadalajara








Guadalajara ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania. Idadi ya wakazi wake ni takriban 246,151. Mji wake mkuu ni Guadalajara.

Mkoa wa Guadalajara

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Hispania Hispania
Eneo Castilla-La Mancha
Mji mkuu Guadalajara
Tovuti:  http://www.dguadalajara.es/

Tazama pia hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Guadalajara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.