auto

Mkoa wa Hambol (kwa Kifaransa: Région du Hambol) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Mkoa wa Hambol
Mahali paMkoa wa Hambol
Mahali paMkoa wa Hambol
Mahali pa Mkoa wa Hambol (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Vallée du Bandama
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Vallée du Bandama
Serikali[1]
 - Prefect Omepieu Yul Lambert
 - Rais wa Baraza Brahima Traoré
Eneo[2]
 - Jumla 19,122 km²
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 429,977
GMT (UTC+0)

Uko katikati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Katiola. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 429,977.

Hambol kwa sasa imegawanywa katika wilaya tatu:

Marejeo hariri

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Hambol" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.