Mkoa wa Kaskazini-Magharibi, Kamerun

mkoa wa kamerun

Mkoa wa Kaskazini-Magharibi, Kamerun ni mmojawapo kati ya mikoa ya Kamerun. Jina lenyewe linadokeza mahali pake nchini.

Mkoa huo una wakazi 1,968,578 (kadirio la mwaka 2015[1]) katika eneo la Km² 17,300.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kaskazini-Magharibi, Kamerun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.