Mkoa wa Kaskazini Magharibi

Mkoa wa Kaskazini Magharibi ni mmojawapo kati ya mikoa 16 ya Jamhuri ya Ghana.

Eneo lake ni la kilomita za mraba 10,074.

Makao makuu ni Wiawso.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kaskazini Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.