Mkoa wa Kati (Zambia)
Kwa maana nyingine, tazama Mkoa wa Kati.
Mkoa wa Kati (Central Province) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 1,012,257 kwenye eneo la 94,395 km². Mji mkuu ni Kabwe.

Jiografia hariri
Picha za Kati hariri
-
Mto Lunsemfwa
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kati (Zambia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | |
+/- |