Mkoa wa Kiên Giang
Kiên Giang ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Rạch Giá. Eneo lake ni 6,299 km². Mwaka 2009 wakazi 1,688,248 walihesabiwa.
Tazama pia
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|