Mkoa wa Long An
Long An ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Tân An. Eneo lake ni 4,491.2 km². Mwaka 2009 wakazi 1,436,066 walihesabiwa.
Tazama pia
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|