Mkoa wa Ninh Thuận
jimbo la Vietnam
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Ninh Thuan)
Ninh Thuận, hapo awali iliitwa mkoa wa Phan Rang, ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Phan Rang - Tháp Chàm. Eneo lake ni 3,363.08 km². Mwaka 2009 wakazi 564,993 walihesabiwa.
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Archived 1 Septemba 2006 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|