Mkoa wa Ordu


Ordu ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki. Upo kwenye pwani ya Bahari Nyeusi. Mkoa unaopakana karibu na hapa ni pamoja na Samsun upande wa kaskazini-maghribi, Tokat upande wa kusini-magharibi, Sivas upande wa kusini, na Giresun upande wa mashariki. Mji mkuu wake ni Ordu.

Muonekano wa Ordu kutoka kilama cha Boztepe


Flag of Turkey.svg Mkoa wa Ordu
Maeneo ya Mkoa wa Ordu nchini Uturuki
Ordu districts.png
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 6,001 (km²)
Idadi ya Wakazi 890,869 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 52
Kodi ya eneo: 0452
Tovuti ya Gavana http://www.ordu.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/ordu


Wilaya za mkoani hapaEdit

Mkoa wa Ordu umegawanyika katika wilaya 19 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya NjeEdit


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ordu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.