Mkoa wa Santiago del Estero

Santiago del Estero ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Argentina. Mji mkuu wake ni Santiago del Estero del Nuevo Maestrazgo au "Santiago del Estero".

Santiago del Estero, Argentina
Mahali pa Santiago del Estero katika Argentina

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Argentina bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Santiago del Estero kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.