Mkoa wa Thanh Hóa
Thanh Hóa ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Thanh Hóa. Eneo lake ni 11,133.4 km². Mwaka 2009 wakazi 3,400,595 walihesabiwa.
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 20 Agosti 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|