Mkoa wa Zaragoza

Zaragoza ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania.

Mkoa wa Zaragoza
Mahali pa Mkoa wa Zaragoza katika Hispania
Mahali pa Mkoa wa Zaragoza katika Hispania

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Hispania Hispania
Jimbo Aragón
Mji mkuu Zaragoza
Eneo
 - Mkoa 17,274 km²
Tovuti: http://www.dpz.es/

Idadi ya wakazi wake ni takriban 970,313.

Mji wake mkuu ni Zaragoza.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Zaragoza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.