Mlima Fentale
Mlima Fentale ni mlima wa volikano unaopatikana ndani ya mkoa wa Oromia nchini Ethiopia. Ni sehemu ya juu sana katika kanda ya Fontale woreda.
Phillip Briggs ameeleza kwamba mlima Fentale una kreta yenye kina cha mita 350.[1][2]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Fentale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |