Mlinzi wa haki za binadamu

Mlinzi wa haki za binadamu ni mtu binafsi au mtu akishirikiana na wengine kulinda na kuhifadhi haki za binadamu.

Walinzi hao wanaweza kuwa waandishi wa habari, wanamazingira, watoa taarifa, wanaharakati wa vyama vya wafanyakazi, wanasheria, walimu, waandaji wa nyumbani, washiriki katika hatua za moja kwa moja au washiriki wa kujitegemea. Wanaweza kulinda haki kama sehemu ya kazi yao au kwa kujitolea. Kutokana na kazi yao wanaweza kukumbana na changamoto kama kupakaziwa, kufuatiliwa, kunyanyaswa, mashitaka ya uwongo, kuwekwa kizuizini kiholela, kizuizi cha uhuru wa kujumuika na mauaji. [1]2020 zaidi ya walinzi wa haki za binadamu 331 waliuwawa katika nchi 25.


Marejeo

hariri
  1. Amnesty International (2017). Human rights defenders under threat - A shrinking space for civil society.