Mlondi Edward Dlamini (3 Machi 1997 - 8 Oktoba 2017)[1] alikuwa mchezaji wa soka wa kitaalam wa Afrika Kusini ambaye alicheza kwa klabu ya Maritzburg United, kama kiungo wa kati.[2] Alikufa kwenye ajali ya gari tarehe 8 Oktoba 2017.[3]

Marejeo

hariri
  1. Obituary
  2. Kigezo:Soccerway
  3. Mahlatse Mphahlele (10 Oktoba 2017). "Maritzburg United's Mlondi Dlamini joins list of footballers lost on the road". Times Live. Iliwekwa mnamo 13 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mlondi Dlamini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.