Mmasekgoa Masire-Mwamba

Mmasekgoa Masire-Mwamba ni msimamizi wa Botswana na mtumishi wa umma wa kimataifa, mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 30 katika ngazi ya juu katika maeneo ya biashara, maendeleo, na diplomasia ya pande nyingi. Mmasekgoa Masire-Mwamba alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola kutoka mwaka 2008 hadi mwaka 2014.[1]

Mmasekgoa Masire-Mwamba addressing panellists crop

Marejeo

hariri
  1. "Former Deputy Secretary General of the Commonwealth Secretariat Ms. Mmasekgoa Masire-Mwamba meets with ACP Secretary General". Acp.int. 2015-06-04. Iliwekwa mnamo 2016-12-09.
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mmasekgoa Masire-Mwamba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.