Moallem Malati (alifariki 19 Mei 1803) alifariki Mkopti msomi aliyeshika nafasi ya juu katika serikali ya Misri.

Hatimaye alikatwa kichwa kwa ajili ya imani yake ya Kikristo.

Alitangazwa na Kanisa la Kikopti kuwa mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.