Mohammed Abdi Abdulaziz

(Elekezwa kutoka Mohamed A. Abdulaziz)

Mohamed A. Abdulaziz (amezaliwa tar. 17 Juni 1958) ni mbunge wa jimbo la Lindi Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Mohamed A. Abdulaziz (17 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.